Tiba asilia ya homoni

Tiba ya kubadilisha homoni zinazofanana kibiolojia (BHRT), pia inajulikana kama Tiba ya homoni zinazofanana kibiolojia au Tiba asilia ya homoni ni aina ya tiba mbadala iliyopendekezwa kama mwarobaini wa maradhi mengi. Hata hivyo uthibitisho wa madai hayo ni mdogo. Homoni zinazotumika zina hatari na faida zinazolingana na dawa za kawaida zilizokubalika baada ya tafiti za kutosha.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search